Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikata utepe kuashiria uwashaji wa umeme
katika kata ya Nachunyu.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akifungua kitambaa kama ishala ya
uwashaji wa umeme katikakata ya Nachunyu.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasha taa kuashilia kuwashwa umeme
katika kata ya Nachunyu.
Mbunge
wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wananchi wa Nachunyu mara
baada ya kuwasha umeme katika kata ya Nachunyu.
Wakazi
wa kijiji cha Nachunyu jimbo la Mtama wakiwa wamejitokeza kwa wingi
kushuhudia uwashaji wa umeme kijijini hapo uliofanywa na Mbunge wa Jimbo
la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye.
Mbunge wa Jimbo la Mtama ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...