Chumba cha Globu ya jamii hivi punde kimepokea taarifa ya kifo cha Mume wa aliyekuwa Waziri wa Serikali ya awamu ya Nne na Mweka Hazina wa CCM Mkoa wa Morogoro Mhe.Dr.Lucy Nkya amefariki dunia,taarifa zinaeleza kuwa marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Rest in Peace
Prof.Estomih Nkya
TAARIFA YA MAZISHI ; Msiba wa mzee wetu Prof E J Nkya Baba Mzazi Wa Mnec Wakili Jonas Nkya na Mume Wa aliyekuwa waziri wa Jinsia,Watoto na Afya Dr Lucy Nkya Kwa sasa Upo Nyumbani kwake Morogoro Kilakala, Mazishi yatafanyika Mkoa Wa Kilimanjaro Machame Siku Ya Jumamosi, Kwa Mtakao pata nafasi Karibuni Tukamhifadhi Mzee wetu. Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu Mahala Pema, Peponi-Amen.
ReplyDeleteRest in peace Bro Esto.....( As i used to call you)