Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa ana points sana. Watoto wanatakiwa wawe shule siyo kuomba omba. Uanzishwe utaratibu watoto wenye umri wa chini ya miaka 13 wasiruhusiwe kusafiri peke yao na wenye mabasi wasiwakatie ticket mpaka wawe na vibali kutoka kwa mkuu wa shule au wawe weambatana na mtu mzima ambaye ni ndugu wa karibu. Watoto wasaidiwe ndiyo taifa la kesho na wengine watakuja kuwa Ma-Raisi siku moja.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 24, 2016

    Je inakuwaje kwa wale wanaoosha vioo vya magari barabarani ili uwape sh. 100 au 200 hali ya kuwa hujawaaomba? Hili pia jipu. Majambazi wa baadae hawa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...