
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Bilioni 12 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey ikiwa ni bakaa (salio) ya tume hiyo zilizopangwa kutumika katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. Hafla hiyo fupi imefanyika Ikulu, Dar es salaam leo Juni 7, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea mfano wa hundi ya Bilioni 12 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey ikiwa ni bakaa ya tume hiyo zilizopangwa kutumika na Tume ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. Hafla hiyo fupi imefanyika Ikulu, Dar es salaam Juni 7, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakimsiliza Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Ramadhani Kailima Kobwey wakati akitoa taarifa ya namna Tume ya Uchaguzi ilivyookoa kiasi cha shilingi Bilioni 12 zilizopangwa kutumika katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. Hafla hiyo fupi imefanyika Ikulu, Dar es salaam Juni 7, 2016. PICHA NA IKULU
Kwani tume haina account. Chaguzi si bado zipo? Lakini hongereni.
ReplyDeleteAnnony namba moja ...... "lakini"... Mbona una kigugumizi iwapo u r sincere? Wachangiaji watu wafanye kazi. Kiongozi ajionyeshe mfano mzuri wengine nao huguatia. Kiongozi akionyesha utafunaji na wengine hufuatia. Hongera Magufuli
ReplyDeleteEnzi zetu zileeeee hiyo hela isingerudi ng'o
ReplyDelete