Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya Bilioni 12 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey ikiwa ni bakaa (salio) ya tume hiyo zilizopangwa kutumika katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. Hafla hiyo fupi imefanyika Ikulu, Dar es salaam leo Juni 7, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea baada ya kupokea mfano wa hundi ya Bilioni 12 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani Kobwey ikiwa ni bakaa ya tume hiyo zilizopangwa kutumika na Tume ya Uchaguzi katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. Hafla hiyo fupi imefanyika Ikulu, Dar es salaam Juni 7, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe Jaji Mstaafu Damian Lubuva wakimsiliza Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Ramadhani Kailima Kobwey wakati akitoa taarifa ya namna Tume ya Uchaguzi ilivyookoa kiasi cha shilingi Bilioni 12 zilizopangwa kutumika katika uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2015. Hafla hiyo fupi imefanyika Ikulu, Dar es salaam  Juni 7, 2016. PICHA NA IKULU



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2016

    Kwani tume haina account. Chaguzi si bado zipo? Lakini hongereni.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2016

    Annony namba moja ...... "lakini"... Mbona una kigugumizi iwapo u r sincere? Wachangiaji watu wafanye kazi. Kiongozi ajionyeshe mfano mzuri wengine nao huguatia. Kiongozi akionyesha utafunaji na wengine hufuatia. Hongera Magufuli

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2016

    Enzi zetu zileeeee hiyo hela isingerudi ng'o

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...