Mzee Steven Kajula wa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni, anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Mpenzi Bi Joyce Moses Kajula, kilichotokea tarehe 7/6/2016 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, msiba upo nyumbani kwake Mtoni Kijichi baada ya shule ya Doris, na mazishi yatafanyika Ijumaa tarehe 10/6/2016 saa 10 jioni katika makaburi ya Kinondoni baada ya ibada itakayofanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni Mwembe Chai, habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wanaohusika na msiba huu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...