SIMU.TV: Kiongozi wa kundi la wahalifu walioua watu katika msikiti mmoja mkoani Mwanza ameuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi jijini Dar es salaam;https://youtu.be/R-hdrsAdoqg

SIMU.TV: Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki jijini Mwanza wameangua vilio baada ya kuchoshwa na vitendo vya unyanyasaji kutoka kwa viongozi wa soko hilo;https://youtu.be/GQVTijoYEqY

SIMU.TV: Wananchi wanatakiwa kutambua kuwa ardhi ndio nyenzo muhimu ya kujikwamua kiuchumi hivyo wanapaswa kuwa na haki miliki za kimila katika ardhi zao;https://youtu.be/n_YOw-USnuo

SIMU.TV: BRELA imetoa wito kwa wafanyabiashara wote kujisajili ili kuweza kufanya kazi zao kwa amani na utulivu na kusaidia katika kuchangia uchumi wa taifa;https://youtu.be/lYUBeG3bcJU

SIMU.TV: Ushirikishwaji wa wananchi wa vijiji vinavyozunguka hifadhi za taifa umesaidia utunzaji wa mazingira ambayo mwanzo yaliharibiwa hovyo na majangili;https://youtu.be/ltUH6xGFwaI

SIMU.TV: Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi limelazimika kufanya semina elekezi kwa wananchi ili kuwawezesha wananchi kutambua dhana halisi ya uwezeshaji;https://youtu.be/M5Y6mS5X4NM

SIMU.TV: Kamisaa wa mchezo kati ya Yanga na TP Mazembe amesema ni mashabiki elfu 40 pekee ndio watakaoruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia pambano hilo;https://youtu.be/YcgrvBjUCZo

SIMU.TV: Mshindi wa shindano la sura mbaya jijini Mwanza apatikana huku mamia ya wananchi mkoani humo wakiachwa midomo wazi; https://youtu.be/dVMDl5I_XN8

SIMU.TV: Mashindano ya michezo kwa vijana wenye umri chini ya miaka 13 inayoandaliwa na kituo cha kukuza vipaji cha Livingstone mkoani Arusha yanatarajia kuanza mapema mwezi ujao; https://youtu.be/FxxsN182lss

SIMU.TV: Timu ya soka ya Taifa ya Chile imefanikiwa kushinda ubingwa wa Copa America kwa mara ya pili mfululizo baada ya kufanikiwa kuilaza Argentina katika mikwaju ya penati; https://youtu.be/RHFylmTqgX0

SIMU.TV: Jeshi la polisi jijini Dar es Salaam limewaua watu wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu kwa kutumia silaha katika mikoa ya Mwanza na Tanga.https://youtu.be/1oikGTnFOIw  

SIMU.TV: Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi jaji mstaafu Damian Lubuva amekabidhi taarifa ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa bunge la wawakilishi Zanzibar.https://youtu.be/15Kjn51mIPM
SIMU.TV: Baadhi ya wakazi wa wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wamesema zoezi la utengenezaji wa madawati limewapa fursa ya kupata ajira. https://youtu.be/m1L12-r2Yn0
SIMU.TV: Waziri mkuu ameondoka nchini leo kuhudhuria mkutano maalumu wa wakuu wa nchi wa SADC kumwakilisha rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.https://youtu.be/sdMqtWb4q58

SIMU.TV: Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imezindua mpango maalum wa kurasimisha vivutio vya utalii vilivyo katika wilaya hiyo ili viwe chanzo cha mapato.https://youtu.be/SBYn792GOlk

SIMU.TV: Wakulima wa kijiji cha Mabungo wilaya ya Moshi wako mbioni kukumbwa na baa la njaa kutokana na mto waliokuwa wakiutegemea kwa umwagiliaji kubomolewa na mvua zilizonyesha mwezi wan ne mwaka huu. https://youtu.be/SNgl6ZeogLE
  
SIMU.TV: Wadau wa mchezo wa ngumi wametakiwa kuwasaidia mabondia chipukizi vifaa ili waweze kujiendeleza katika mchezo huo. https://youtu.be/MHSy9-amNaU


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...