SIMU.TV: Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa atoa ufafanuzi juu ya mikakati ya dharura ya serikali dhidi ya ujenzi wa barabara zilizoharibika kwa mvua; https://youtu.be/zRkgsHJuLF4
SIMU.TV: Mhe. Martha Mlata amtaka waziri mkuu kutoa maelekezo kwa watumishi wa afya kuwabainisha wananchi wenye maradhi wasio na fedha za matibabu;https://youtu.be/ eKzuHeWa8Ak
SIMU.TV: Je serikali haioni umuhimu wa kutathmini orodha ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama akiwemo mbunge wa jimbo husika? Mhe. Sima ahoji; https://youtu.be/Hmh4-KQCwQE
SIMU.TV: Naibu waziri TAMISEMI Mhe. Jafo atoa ufafanuzi juu ya uboreshaji wa malambo katika wilaya ya Bunda na kutokomeza magugu maji; https://youtu.be/OGbPaUZ6RxA
SIMU.TV: Mbunge wa Lindi mjini Mhe. Kaunje aitaka serikali kufanya uhakiki na uchunguzi juu ya zoezi zima la upimaji na ugawaji wa viwanja; https://youtu.be/cuxK3cV68sM
SIMU.TV: Mhe. Joseph Mbilinyi aitaka serikali kuweka bayani ni lini jengo jipya la maabara ya mionzi hospitali ya rufaa Mbeya litakamilika; https://youtu.be/U0FHrnLfCu0
SIMU.TV: Je ni lini serikali itawapatia mikopo wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha mwani ili kuongeza uzalishaji wa zao hilo? Sikiliza majibu ya serikali; https://youtu.be/B1wma1gVshM
SIMU.TV: Sikiliza mikakati ya serikali katika kuboresha elimu na kumfanya mwanafunzi awe na uwezo na ubunifu wa kujiajiri pale anapohitimu chuo; https://youtu.be/bCpV6WMpYeE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...