Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Laurent Mwigune akishiriki zoezi la kufanya usafi wa mazingira katika dampo lilipo maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Laurent Mwigune akisaidiana na baadhi ya maafisa wa Mamlaka hiyo, kuondosha uchafu katika eneo la Yombo Vituka, wakati wa zoezi la usafi, jijini Dar es Salaam leo.
Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Yombo Vituka wa kwanza kulia Maria Jailos akishirikiana na wafanya wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) katika zoezi la usafi, leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Laurent Mwigune wa (kushoto) akiteta jambo na Meneja Usalamaa wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Thomas Kimata leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2016

    Safi sana. Naona Tanzania yenye heshima inakuja. Lakini nguvu kubwa zitumika kuhamasisha wananchi waache kutupa takataka hovyo. Somo hili lifundishwe shuleni. Pia sheria kali zitumike kwa wanaotupa takataka hovyo. Mbona hawatupi takataka hizo maene ya jeshi kama Lugalo? Sheria kali zikitumika watajifunza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...