TANGAZO KWA UMMA
KATIKA KUADHIMISHA WIKI YA UTUMISHI WA
UMMA OFISI YA MAKAMU WA RAIS INAWAKARIBISHA WANANCHI WENYE KERO/ MAONI/CHANGAMOTO
KUHUSU MASUALA YA MUUNGANO NA MAZINGIRA, KUFIKA UKUMBI MDOGO WA
KARIMJEE (COUNCIL CHAMBER) TAREHE 21 JUNE, 2016. RATIBA YA KUWASIKILIZA WANANCHI ITAKUWA
KUANZIA SAA SAA 3 HADI 7 MCHANA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...