Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania.(TCAA), Hamza Johari(kushoto), akikabidhi msaada wa Kompyuta kwa wanafunzi wenye mahitaji maluum wenye ulemavu wa akili wa shule ya Msingi Mtambani, iliyopo Boko jijiniI Dar es salaam. Wanaoshuhudia kutoka kulia ni Mwalimu Mkuu msaidizi wa Shule hiyo Mariana Saso na Mkuu wa Kitengo Maalumu cha Wanafunzi wenye Ulemavu wa akili wa shule hiyo Asaph Maerere.Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya TCAA Ukonga, Banana.
Wanafunzi wenye mahitaji maluum ya ulemavu wa akili wa shule ya Msingi Mtambani, iliyopo Boko jijini Dar es salaam,wakifurahia komputa mara baada ya kukabidhiwa msaada na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania.(TCAA), Hamza Johar(hayupo pichani)hafla hiyo Hafla hiyo imefanyika leo makao makuu ya TCAA Ukonga, Banana.
Mkuu wa Kitengo Maalumu cha Wanafunzi wenye Ulemavu wa akili wa shule ya msingi Mtambani iliyopo Boko jijini Dar es Salaam, Asaph Maerere. akiwa na wanafunzi wake wakiwa wamebeba kompyuta mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa AngaTanzania.(TCAA), Hamza Johar(hayupo pichani)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...