Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor akizungumza na wadau
na wataalamu wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao (hawapo pichani) mbele
ya vyombo vya habari.
Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali watu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bibi Kitolina
L. Kippa. akimkaribisha Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor
kuzungumza na wadau na wataalamu wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao
nchini (hawapo pichani).
Wadau na wataalamu wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao wakimsikiliza
Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor (hayupo pichani).
Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor (wa nne kutoka kushoto)
waliopo mbele akiwa katika picha ya pamoja na wadau na wataalam wa Sekta ya Mawasiliano
wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...