Uongozi wa kampuni ya Huawei Device Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Vidacom Tanzania mara baada ya mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa simu mpya ya Huawei kishkwambi inayokuja na ofa kabambe kutoka Vodacom, uliofanyika katika ukumbi wa Western Coral Beach Hotel, jijini Dar es Salaam
 Meneja wa Huawei nchini Tanzania Bw. Huxiangyang Jacko akitoa hotuba kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi simu mpya ya Huawei kishkwambi inayokuja na ofa kabambe kutoka Vodacom. Kulia ni Mkuu wa Kitengo  cha  Mauzo na usambazaji Vodacom Tanzania George Rwehumbiza na Mkurugenzi wa mauzo na Usambazaji  wa Huawei Tanzania Bwana Sylvester Manyara.
  Mkuu wa Kitengo  cha  Mauzo na usambazaji Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akitoa hotuba kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi simu mpya ya Huawei kishkwambi inayokuja na ofa kabambe kutoka Vodacom. Kushoto ni Meneja wa Huawei nchini Tanzania Bw. Huxiangyang Jacko na Kulia ni Mkurugenzi wa mauzo na Usambazaji  wa Huawei Tanzania Bwana Sylvester Manyara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...