Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan  akipokea maelezo kutoka kwa  Meneja Masoko na Muendelezo wa Bidhaa wa DCB Commercial Bank   Boyd Mwaisame kuhusu huduma zinazotolewa na DCB   baada ya kutembelea banda la benki hiyo kwenye maonyesha ya 40 ya saba saba yanayoendelea jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kulia ni Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mh. Charles Mwijage.
 fisa wa DCB Bank Bi. Loyce Rwiza akitoa maelezo kuhusu huduma ya Agency Banking kupitia Mawakala ( DCB Jirani) kwa wananchi waliotembelea banda la benki hiyo viwanja vya sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Wananchi waliotembelea banda la DCB Bank kujionea na kununua bidhaa za asili zinazotolewa na wajasiriamali waliowezeshwa na DCB Commercial Bank.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...