Jeneza
lenye Mwili wa Marehemu Joseph Senga likiwa katika Uwanja wa TP, Sinza
Uzuri jijini Dar es salaam wakati wakimuaga kwenda Kwimba, Mwanza kwa
Maziko. Mwili wa Marehemu Joseph Senga unatarajiwa kuzikwa mara baada ya
kufika.
Jeneza la Mwili wa Joseph Senga likipewa heshima ya mwisho.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
Marehemu Joseph Senga, aliekuwa Mpiga Picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania
Daima, aliefariki Dunia hivi karibuni, wakati wa shughuli ya kuaga mwili
huo, iliyofanyika katika Uwanja wa TP, Sinza Uzuri, Jijini Dar es
salaam.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Marehemu Joseph Senga, aliekuwa Mpiga Picha Mkuu wa
Gazeti la Tanzania Daima, aliefariki Dunia hivi karibuni, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo, iliyofanyika katika Uwanja wa TP, Sinza
Uzuri, Jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Joseph Senga, aliekuwa Mpiga
Picha Mkuu wa Gazeti la Tanzania Daima, aliefariki Dunia hivi karibuni,
wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo, iliyofanyika katika Uwanja wa TP,
Sinza Uzuri, Jijini Dar es salaam.
Baadhi
ya Wapiga Picha wa Vyombo mbalimbali vya Habari nchini, wakibeba Jeneza
la Marehemu Joseph Senga wakati wakilipeleka kwenye gari tayari kwa
safari ya kwenda Kwimba, Jijini Mwanza kwa Mazishi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...