Vijana wa IPS na muungano wa vijana waliosoma na kumaliza shule ya msingi ilala jijini Dar es salaam, leo walijumuika na mbunge wa jimbo la Mkuranga Mhe.  Abdallah Ulega katika kutoa futari kwa watoto yatima wa kituo cha Malaika.
 Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mhe.  Abdallah Ulega akiongoza Vijana wa IPS na muungano wa vijana waliosoma na kumaliza shule ya msingi ilala jijini Dar es salaam
 Vijana wa IPS na muungano wa vijana waliosoma na kumaliza shule ya msingi ilala jijini Dar es salaam
 Baadhi ya vijana wa IPS na muungano wa vijana waliosoma na kumaliza shule ya msingi ilala jijini Dar es salaam wakiwa na wanafunzi wa kituo hicho cha Malaika
  Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mhe.  Abdallah Ulega akijumuika na watoto yatima kituoni hapo
 Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mhe.  Abdallah Ulega akighawa futari na Vijana wa IPS na muungano wa vijana waliosoma na kumaliza shule ya msingi ilala jijini Dar es salaam kituoni hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Asante mungu tulilifanikisha ili kwa umoja wetu na nguvu zetu allah atujaliie wana IPS tufqnye makibwa zaid kwa umoja wetu asante uongozi wa malaika kids asante na mheshimiwa ulega mbunge wa mkuranga bilq kumsahau mh diwani wa kata ya mkuranga na mwenyekiti wa kata hiyo kwa sapot yenu kubwa mliotuonyesha allah atawalipa zaid

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...