Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela leo alishiriki katika Iftar iliyoandaliwa na Masjid Al Ihsaan ya mjini Iringa. Kituo hiki kipo Mawelewele katika manispaa ya Iringa kinaongozwa na Sheikh Khalfan Hassan Msaka
Sheikh Abdisalaam Ayoub akimlaki Mhe Kasesela kushiriki katika futari kituoni hapo na Sheikh Abdisalaam Ayoub. Katikati ni sheikh Khalifan MsakaMhe Kasesela akisalimiana na mwalimu wa dini wa kituo hicho
Sehemu ya waumini wakisikiliza mawaidha baada ya kufuturu
Sehemu ya waumini wakisikiliza mawaidha baada ya kufuturu
D.C looking very naturally the part.
ReplyDelete