Wakiomba kabla ya kufanya Mazoezi leo hii jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba.
Mwenyekiti wa kamati ya Waamuzi ya TFF, Salum Umande Chama ambaye pia ni Katibu wa KRFA (katikati) kulia ni Makamu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), WALLACE KARIA nao walikuwepo Uwanjani hapo kujionea Uwanja huo ambao umemalizika kwa kusuasua.
Mecky Meximeakitoa maelekezo kwa wachezaji wake leo hii kwenye Uwanja wa Kaitaba, Wakijiandaa kuikaribisha Timu ya Mwadui hivi karibuni.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI



Kwa jinsi serikali hii inataka ni vizuri kujitolea...naombeni kabla ya mazoezi yajayo waamasishe mashabiki wenu jumamosi asubuhi kila mtu na koleo jembe na fyekeo mkafyeke nyasi ninazoziona majukwaani..infact mi niko dar ningekuwa home ningekuwa wa kwanza...
ReplyDelete