Daktari wa Macho kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Maulid Abdu Maulid akitoa huduma katika Siku ya Afya Vijijini ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
Daktari wa Huduma ya akina Mama na Watoto kutoka kituo cha Afya Paje Nunuu Ali Makame akitoa mafunzo kwa akina Mama katika Siku ya Afya Vijijini ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini Unguja.
Daktari Bingwa wa huduma ya XRAY na Mionzi(Radiologist) Lyu Chang An akifanya uchunguzi wa XRAY katika Siku ya Afya Vijijini ambapo mara hii imefanyika katika Kijiji cha Jambiani Wilaya ya Kusini
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...