Kushoto ni Meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando na maafisa biashara wa Airtel Mtwara Jerry Issaya na Moses Bhalalusesa wakiongea na mmoja wa wanufaika wa mradi wa Airtel Fursa mkoani Mtwara bi. Prisca Chilumba (aliyesimama) walipomtembelea mnufaika huyo katika saluni yake mpya mkoani Mtwara. Airtel ilifanya ziara hiyo ili kujionea maendeleo yake pamoja kupanga jinsi ya kuboresha msaada huo ili aweze kutimiza ndoto zake.
Kushoto ni Katibu wa Lindi Sauti ya Jamii kundi la wajasiliamali la bw, Salum Muunguja- na mwenyekiti wake Shaban Zuberi wakionyesha mmoja kati ya mbuzi 10 wa kisasa walionunua baada ya kuweshwa na mradi wa kijamii wa Airtel Fursa mara baada ya kutembelewa na Meneja uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando na meneja biashara wa mkoa huo bw, Saleh safy. Airtel ilifanya ziara hiyo ili kujionea maendeleo yao pamoja na kuboresha kuboresha msaada wao ili vijana waweze kukabiliana na changamoto zilizojitokeza. Habari kamili BOFYA HAPA




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...