Basi dogo ya abiria aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Mbagala Rangi tatu kuelekea Kimanzichana Mkoani Pwani, limeingia kwenye mtaro usiku huu uliopo usoni kabisa mwa kiota maarufu cha DarLive, Mbagala jijini Dar es salaam, baada ya dereva wake kushindwa kulimudu kutokana na mwendo kasi aliokuwa nao. hakuna majeruhi wana mtu kupoteza maisha kwenye tukio la ajali hiyo.
Watu wa BeakDown wakifanya maarifa ya kulichomoa Basi hilo kutoka mtaroni baada ya ajali hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...