Na Anthony John Globu Jamii.
Binti wa Kitanzania, Jennifer Shigholi ameibuka kuwa Mjasiriamali katika Bara la Afrika(African Enterprenuership Awards) katika Mashindano yaliyofanyika Desemba 5 Nchini Morroco.
Shigholi amewahasa Vijana kuendelea kudhubutu na kutumia fursa mbalimbali zilizopo nchini ilikuweza kujikomboa kichumia na badala yake kuacha kulalamika na kuchukua hatua za uthubutu kwa kuwa kila kitu kinawezekana kama mtu akimua.
Pia amesema kuwa Serikali imempatia eneo la kujenga Kiwanda kikubwa zaidi ilikuweza kutoa ajira kwa vijana hapa Nchini.
Hivyo hivyo Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania TPSF Salum Shamte, amesema Mjasiliamali huyo ameleta heshima kubwa katika nchini yetu na sisi kama Sekta binafsi tutafanya naye kazi bega kwa bega ilikumsaidia kuweza kuendeleza biashara zake.
" Jennifer ni Mfano wa kuigwa na Vijana wengine kwa Ujasiliamali wake Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania inampongeza kwa Ushindi wake kwenye tuzo za Ujasiliamali barani Afrika na kuiletea nchi yetu heshima kubwa haswa wanawake" amesema

Mshindi wa tuzo ya African entrepreneurship, Jennifer Shigholi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, kulia ni makamu Mwenyekiti wa bodi ya Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania Salum Shamte. 

Makamu Mwenyekiti wa TPSF,Salum Shamte akitoa shukrani kwa Mshindi wa Jennifer Shigholi.
Makamu Mwenyekiti wa TPSF,Salum Shamte akimkabidhi Mshindi wa Tuzo ya Mjasiliamali Bora Afrika, Jennifer Shigholi cheti cha kumtambua katika Taasisi hiyo ya TPSF kama Mjasiriamali Mahiri
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...