Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Mwadini Ahmada Mwadini (kushoto) akifanya ukaguzi katika moja ya Duka la dawa kuangalia usalama wa dawa zinazouzwa na duka hilo lililopo mtaa wa kilimani.

Maafisa ukaguzi kutoka Bodi ya Chakula, Dawa na vipodozi wakiangalia dawa zinazoendelea kuuzwa na duka la Fahud liliopo Mkunazini Mjini Zanzibar.
Msaidizi Mfamasia Kombo Masoud Khatib akitoa maelezo kwa mkaguzi wa Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Amne Nassor Issa wakati maafisa hao walipofanya ukaguzi wa kushtukiza katika maduka ya dawa ya Mjini Zanzibar.Picha na Makame Mshenga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...