Taarifa zilizotufikia jioni hii kutoka  Mombasa, Kenya, zinasema kwamba katika michezo ya Mabunge ya Afrika Mashariki inayoendelea huko  kumemalizika mechi kati ya Tanzania na Uganda. Matokeo ni kwamba Bunge Stars ya Tanzania wameshinda goli 2, Uganda 1. Magoli yote ya Bunge Stars  yamefungwa na mshambuliaji hatari wa kimataifa Mhe Mohamed Mchengerwa. Shukuran kwa dua zenu. Kesho Bunge Queens ya Tanzania wanamenyana na Kenya katika netball  wakati kwenye kandanda watacheza na Kenya. Dua zenu wapendwa Watanzania popote mlipo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...