

Diwani wa Kata ya Mwanga Kusini Mkoani Kigoma Mussa Maulid kwa tiketi ya CCM (kulia) akipongezwa na wananchi wa Kata hiyo kwa kuweza kufanikisha uchongaji wa barabara inayounganisha Kilimahewa shule na Kilimahewa B, barabara hiyo imechongwa pamoja nakuwekewa Culvert kwa nguvu za wananchi kwa asilimia 100
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...