![]() |
Mwl.Ruth Raphael Shempemba ( Mamndolwa) |
Leo 15-12-2016 ni miaka mitano kamili tangu ulipotutoka.Mama yetu mpendwa tunakukumbuka kila siku iendayo kwa Mungu. Tunamshukuru Mungu kwa miaka yote aliyotupa na wewe. Siyo rahisi hata kidogo kutengana na wewe ila mapenzi ya Bwana yatimizwe.
Unakumbukwa daima na mumeo,wanao,wajukuu,vitukuu na wote waliokuwa wanakufahamu.
Pumzika kwa Amani na Bwana hadi hapo tutakapoonana tena.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...