![]() |
Mhe Mussa Azzan Zungu akisalimiana na Spika wa Bunge la Kenya,Justin Muturi wakati wa Mkutano wa CPA unaofanyika London Uingereza |
![]() |
Ujumbe wa Bunge la Tanzania katika Mkutano wa Chama cha Wabunge Duniani.Ujumbe huo wa Wabunge wanna unaongozwa na Mhe Mussa Azzan Zungu anaemuwakilisha Mhe Spika. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...