Katibu Mkuu wa Chama cha Watunisha Misuli Nchini Bw. Francis Mapugilo (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mashindano ya kutafuta bingwa wa kutunisha misuli nchini Tanzania 2017 yatayofanyika karibuni jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mshauri wa Ufundi wa Chama hicho Bw. Fike Wilson na mwisho kulia Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo Bw. Nilesh Bhatt.
 Baadhi ya watunisha misuli wakionesha jinsi ya kutunisha misuli kwa waandishi wa habari 
 Baadhi ya watunisha misuli wakionesha jinsi ya kutunisha misuli kwa waandishi wa habari 
Baadhi ya watunisha misuli wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo Bw. Nilesh Bhatt (kushoto) 
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo.              

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...