Watoa Burudani maarufu jijini Mbeya watumiao vitendea kazi vya kiasili kutoka kwenye kabila lao la Wasafwa  wakipuliza Matarumbeta yao ya asili wayaitwayo kwa jina la Mbeta wakati wakitoa Burudani.
Mbeta ikipulizwaaa hapo ni lazima ucheze tuu.
Baadhi ya Wasanii wa nyimbo za asili wa kabila la Kisafwa wakiendelea kutoa Burudani kwenye moja ya hafla kwa kutumia  Mbeta.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...