Bwana harusi, George Raphael na mkewe Victoria Mollel wakiwa katika pozi la tabasamu baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Ushirika wa Ubungo, Lutherani ibada hiyo ya ndoa iliyoongozwa na Mchungaji Godliste Nkya.
Bwana na Biharusi wakiwa katika pozi baada ya kufunga pingu za maisha.
Mchungaji Godliste Nkya akiwakabidhi Cheti cha Ndoa baada ya kufunga pingu za Maisha.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...