Mdau wa siku nyingi wa Globu ya Jamii Joseph Chigo akiwa na mama mzazi yake baada ya kulamba nondozzz yake ya Masters In Business Administration (MBA-CORPORATE MANAGEMENT) katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika jana Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Hongera sana mdau wetu pamoja na mama na baba wazaa chema.
Mdau Joseph Chigo akiwa na baba yake mzazi baada ya kulamba nondozzz yake ya Masters In Business Administration (MBA-CORPORATE MANAGEMENT) katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es salaam yaliyofanyika jana Ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Joseph Chigo akiwa na familia yake baada ya kulamba nondozzz yake ya Masters In Business Administration (MBA-CORPORATE MANAGEMENT)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...