Mhariri
wa Habari Mstaafu wa Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti
ya Uhuru Mzalendo na Burudani Mzee Joe Nakajumo akimpiga msasa Kaimu
Mhariri wa Makala Selina Wilson, katika chumba cha habari cha kampuni
hiyo, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Mzee Nakajumo alifika leo
katika chumba cha habari kwa mwaliko rasmi wa Kaim Mhariri Mtendaji wa
UPL, Ramadhani Mkoma ili kuwapiga msasa waandishi wa habari. Kulia ni
Mpigapicha Mwandamizi wa UPL, Bashir Nkoromo ambaye kwa sasa ameazimwa
Katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kitengo cha Mawasiliano ya Umma,
Makao Makuu ya CCM.
Kaimu Mhariri wa Makala, Selina Wilson akimshukuru Mzee Nakajumo kwa msasa aliompiga
Mpigapicha
Mwandamizi wa UPL, Bashir Nkoromo ambaye kwa sasa ameazimwa Katika
Idara ya Itikadi na Uenezi, Kitengo cha Mawasiliano ya Umma, Makao Makuu
ya CCM, akimshukuru Mzee Nakajumo baada na yeye kupata nasaha na
kukumbushwa namna kazi zilivyokuwa zikifanyika wakati akipigapicha UPL
ambapo picha zilikuwa lazima zitathminiwe ubora wake na Mzee huyo,
Nakajumo wakati akiwa bado hajastaafu UPL
Mzee
Nakajumo akiendelea kusikiliza kila liyetaja kulifahamu kwa undani
jambo linalohusu uandishi wa habari ulio wa makini zaidi.
PICHA ZOTE NA JUMAANE GUDE
PICHA ZOTE NA JUMAANE GUDE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...