Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Sadiki Meck Sadiki akimsalimia na mwanafunzi Fadhili Mwidini wa shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe. Gelasius Byakanwa Mkuu wa mkoa alifika kukabidhi madawati pamoja na kuzindua vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC).picha zote na mahmoud ahmad wa globu ya jamii arusha
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika akitoa ufafanuzi juu ya vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki..
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika (wapili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe. Gelasius Byakanwa.
Picha zote na Mahmoud Ahmad wa Globu ya Jamii





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...