Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maagizo kwa
Mhandisi Mshauri Eng. Domicus Mapunda wa Kampuni ya Ujenzi ya Mbutu Bridge JV inayojenga
barabara ya Makutano-Nata KM 50 kwa kiwango cha lami mkoani Mara wakati
alipokagua mradi huo.
Ujenzi
wa barabara ya Makutano-Nata KM 50
inayojengwa kwa kiwango cha lami, wilaya ya Butiama, mkoani Mara ukiendelea.
Kaimu
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma Bi. Faraja akimuonesha Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto), ramani ya eneo la
kiwanja cha ndege hicho, alipokagua kiwanja hicho mkoani Mara.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Kaimu
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma Bi. Faraja kuhusu eneo litaloongezwa
kiwanja hicho, mkoani Mara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...