Anaitwa Bradley Lowery...  Ni shabiki Mashuhuri wa timu ya Sunderland Inayoshiriki Ligi kuu Uingereza...! Ana umri wa miaka mitano tu na aligundulika ana Kansa (Neuroblastoma) akiwa na umri wa miaka 2.  Tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla Kansa haijakatiza pumzi zake na kuupeleka mwili wake wa futi 6 chini ya Ardhi...! 😭😭
Kuna kaburi liko wazi tayari likimsubiri Bradley..!
Kitu chake cha mwisho kabisa alichokiomba duniani ni zawadi ya kadi ya Krismasi.. kadi tu inamtosha kukifanya kifo chake kuwa na amani...Wiki hii amepokea zaidi ya kadi 11,000 na zingine bado zinamiminika.

#Everybody dies but not everyone has lived... Umeumiza Moyo wangu!!#

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...