Baada ya mapumzko ya siku ya kwanza katika kituo cha Mandara,timu ya Wanahabari na Asakari wa jeshi la Ulinzi asubuhi yake walipanga mstari mmoja kwa ajili ya kuanza safari ya kuelekea kituo cha pili cha Horombo.
Safari ilianza kwa kila mshiriki kuoenkana mwenye afya na nguvu ya kufikia ndoto ya kufika kilele cha Uhuru.
Kama ilivyo ada kuchukua kumbukumbu likawa jambo la muhimu kwao ,na hapa wakapa picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi TANAPA,Jenerali George Waitara aliyekuwa mkuu wa msafara.  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...