SIMU.TV: Watoto watatu wamefariki dunia baada ya kuzama bwawani katika eneo la Mombasa wilaya ya Magharibi visiwani Zanzibar ; https://youtu.be/RKOnvdSLOr4
SIMU.TV: Kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM chini ya mwenyekiti wake Rais Dkt John Magufuli imekutana leo huku ajenda kubwa ikiwa ni tathimini ya uchaguzi mkuu 2015; https://youtu.be/EAN185bJh10
SIMU.TV: Ufugaji wa mende na funza kwa ajili ya chakula cha mifugo umekuwa kivutio kikubwa katika maonyesho ya bidhaa za viwandani nchini Tanzania; https://youtu.be/u8J2PCRQBXc
SIMU.TV: Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini TANAPA Meja Jenerali mstaafu George Waitara amewataka viongozi wa TANAPA kuboresha usafi katika mlima Kilimanjaro; https://youtu.be/SOzQeJRDArk
SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Manyara Dkt Joel Bendera amewataka watendaji katika mkoa huo kushiriki kutatua migogoro ya ardhi katika maeneo yao; https://youtu.be/xGYQyQM3p3s
SIMU.TV: Baadhi ya wananchi katika halmashauri ya Kahama wameilalamikia mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kwa kushindwa kuunganisha maji kwa wananchi; https://youtu.be/Gqhu64059OA
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Ubungo jijini Dar Es salaam Humphrey Polepole amewataka viongozi waliopewa dhamana kuongoza katika wilaya yake kufanya kazi kwa uadilifu; https://youtu.be/OLm3C_nVE2c
SIMU.TV: Waziri wa michezo Nape Nnauye amesisitiza kuwa uwanja wa Taifa bado umefungwa kutumiwa na vilabu vya Yanga na Simba katika michezo ya ligi kuu; https://youtu.be/u4CUvYfAAwI
SIMU.TV: Mkutano mkuu wa klabu ya Simba umepitisha kwa kauli moja kuruhusu kufanyika kwa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi; https://youtu.be/1qEIb5n5W_s
SIMU.TV: Makocha wanaofundisha soka mitaani bila kuwa na elimu yoyote wameshauriwa kwenda kujifunza taalamu hiyo kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla; https://youtu.be/5vnjw2TA8pM
SIMU.TV: Vinara wa ligi kuu Uingereza timu ya Chelsea wamereja kileleni baada ya kupata ushindi mwembamba wa goli moja kwa bila dhidi ya Westbrom Albion; https://youtu.be/53b_3yhAUC4
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...