Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akitoa hotuba ya kufunga mkutano wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola-Kanda ya Afrika jijini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa  wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola-Kanda ya Afrika(CPA-AFRICA) jijini Dar es Salaam.Wakwanza kushoto ni Dkt. Acho Ihim Rais CPA-Afrika, Mhe Elijah Okupa Kaimu Mwekahazina wa CPA-Afrika na Mhe. Lindiwe Maseko Mwenyekiti wa kamati hiyo. Kamati hiyo ilikutana Jijini Dar es Salaam kwa muda wa wiki moja kujadili masuala mbalimbali yanayohusina na Chama hicho.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (katikati waliokaa) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola-Kanda ya Afrika (waliokaa) pamoja na Sekretarieti ya Chama hicho.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akiagana na Rais CPA-Afrika Dkt. Acho Ihim mara baada ya kufunga mkutano wa Chama hicho Jijini Dar es Salaam.
Picha na Ofisi ya Bunge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...