Muandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Mitindo ya mavazi la "Swahili Fashion Week" ambaye pia Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya 361, Mustafa Hassanali akizungumza kabla ya kukabidhi tunzo kwa Mbunifu Bora wa Mwaka 2016, iliyokwenda kwa Mbunifu Kijana, Martin Kadinda, ikiwa ni siu ya mwisho ya Tamasha hilo kwa Mwaka huu, lililoanza rasmi Desemba 2 - 4, 2016 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es salaam.
Muandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Mitindo la "Swahili Fashion Week" ambaye pia Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya 361, Mustafa Hassanali akimkabidhi tuzo ya Mbunifu Bora wa Mwaka 2016, Mbunifu Martin Kadinda baada ya kuibuka kinara katika nyanja hiyo, katika Usiku wa mwisho wa Tamasha la Kimataifa la Maonyesho ya Mitindo ya mavazi la "Swahili Fashion Week" , lililomalizika usiku huu katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar es salaam.




Habari njema Kwa wamama,wadada,bachelors na wanavyuo wa hostel,familia.
ReplyDeleteOkoa pesa,muda,nafasi,gharama kubwa za umeme na gas na matumizi ya vyombo vingi.
Tumia SMART COOKER - Jiko la kisasa la DIGITAL LINALOTUMIA UMEME MDOGO SANA KULITUMIA
BEI : Tsh 250,000/=
UKUBWA WAKE NI LITA - 5
Linapika vyakula vyote, ugali,wali nk
Haliunguzi Chakula,haligandishi Chakula(Non-stick) hivyo kupunguza matumizi ya Mafuta ya kupikia
Linachemsha supu,maji nk
Linakaanga chips,nyama,maandazi, nk
Linaoka cake,mikate nk
Linatost mikate nk
Linatengeneza pop corn
Linachoma nyama,mishikaki nk
Linatumika kama Oven,Microwave na Hotpot
Ni rahisi KULITUMIA na ni Salama Kwa mazingira yote
CALL :0746 25 45 73 , 0757 18 44 45 or vmonyo@gmail.com