Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akipitia ripoti ya utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.Kushoto kwa waziri ni Mbunge wa bagamoyo Mhe.Shukuru Kawambwa,Mbunge wa Chalinze Mhe.Riziwani Kikwete na Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Bw.Majid Hemed Mwanga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akiangalia moja ya vyumba vilivyopo katika soko la Magomeni lililopo katika miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.Kulia kwa waziri mwenye miwani ni Mratibu wa Mradi huo Bw.Walter Swai.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu maswali mbalimbali aliyoulizwa na wananchi wa kiwangwa,Chalinze wakati alipotembelea miradi inayotekelezwa na halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedha Vijijini(Mivarf) ulio chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...