Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Korea, Mhe. Yun Byung-se. Mazungumzo hayo yalifanyika jijini Addis Ababa kando ya Mkutano wa Ushirikiano wa nchi za Afrika na Korea
Bw. Benedict Msuya na Bi. Berther Makilagi ambao ni maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakinukuu masuala muhimu ya mazungumzo ya Waheshimiwa Mawaziri wa Korea na Tanzania.
Maafisa walioambatana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea nao wakinukuu taarifa za mazungumzo.
Mhe. Mahiga na Mhe. Yun wakishikana mikono ya kuombeana kheri baada ya kukamilisha mazungumzo yao.
Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...