Aliyekaa kulia Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. January Makamba, akimsikiliza katibu Mkuu mpya wa Ofisi hiyo Professor
Faustin Kamuzora walipokuwa katika mkutano wa pamoja na watumishi wa Ofisi
hiyo jijini Dar es Salaam.
Aliyesimama katikati ya Sehemu ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Injinia
Kamukuru Afisa Mazingira Mwandamizi, akiongea wakati wa mkutano wa
watumishi wa Ofisi hiyo na Waziri wa Nchi anayeshughulikia masuala ya
Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba hayupo Pichani, mkutano huo
ulifanyika jijini dare s Salaam. (Picha na Ofisi ya makamu wa Rais).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...