Waziri wa Biashara, Viwanda na Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Rwanda, Francois Kanimba akizungumza na waandishi habari mara baada ya kutembelea bandari ya Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumtembeza Waziri wa Biashara , Viwanda na Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Rwanda, Francois Kanimba katika bandari ya Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Biashara, Viwanda na Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Rwanda, Francois Kanimba akipata maelezo ya Bandari ya Dar es Salaam kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Biashara , Viwanda na Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Rwanda, Francois Kanimba akitembelea bandari ya Dar es Salaam ikiwa sehemu ya mkutano wa siku mbili wa kujadili masuala ya biashara kati ya Tanzania na Rwanda leo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...