Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akizindua Mradi wa kikundi cha Vijana wajasiliamali cha Ufugaji wa Nyuki na Shamba la Upandaji wa Miti katika kijiji cha Nyaruku Wilayani Ngara.

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini katika kijiji cha Nyankenda ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2015_2020
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua Ukamilishaji wa Agizo la Utengenezaji wa Madawati katika Shule ya Msingi Rulenge Jinsi lilivyo Kamilika kama alivyotoa agizo Mhe:Rais wa Jamhttp://michuzi-matukio.blogspot.com/2016/12/ziara-ya-kaimu-katibu-mkuu-uvccm-taifa.htmlhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akikagua eneo la Shamba la kikundi cha Mpaji ni Mungu Youth group kinacho jishughulisha na Ufugaji wa Nyuki na Ulimaji wa Mazao Mbali mbali ya Chakula
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) akionyeshwa Bidhaa mbali mbali zinazo zalishwa na kikundi cha Mpaji ni Mungu Youth group.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...