Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Mzee Philemon Luhanjo wakati alipowasili kwenye kiwanda cha chai cha Lupembe kukagua kiwanda na kuzungumza na wafanyakazi  akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa kiwanda cha chai cha Lupembe, Mussa Kefa   (kushoto kwake) wakati alipotembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma  kutoka kijiji cha Kanitelele mkoani Njombe  ikicheza ngoma ya Limdoya wakati alipowasili kwenye kiwanda cha chai cha Lupembe  akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017.  Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka
 Wasanii  kutoka kijiji cha  Kanitelele mkoani Njombe wakicheza ngoma  ya Limdoya wakati  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   alipowasili kwenye kiwanda cha chai cha Lupembe  kukagua kiwanda na kuzungumza na wanyakazi  Januari 25, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha chai cha Lupembe akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Januari 25, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...