Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwaangalia wafanyakazi wa Shirika la ZSTC wakitoa uchafu katika Karafuu zinazotayarishwa kwa mauzo  ambazo huingizwa  katika chupa na kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo  wakati alipotembelea kazi hizo katika  uzinduzi Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata maelezo kwa Asmahani Abdulkadir alipotembelea Karafuu zinazotiwa katika chupa kuwekewa alama maalum kwa ajili ya mauzo  wakati alipowasili Saateni Mjini Unguja kuzindua Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji Dkt.Said Seif Mzee.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wafanyakazi na Wananchi  katika hafla ya Uzinduzi wa Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar huko Saateni Mjini Unguja, ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akinyanyua Nembo ya KARAFUU kama ishara ya Uzinduzi wa  Awamu ya kwanza ya Branding  ya Karafuu ya Zanzibar,uliofanyika leo  huko Saateni Mjini Unguja,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya  miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Amina Salum Ali.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...