Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda, Akihojiwa na Watangazaji mahiri wa TBC Taifa, Paul Alphonce na Anna Mwasyoke, Mikocheni Jijini Dar es salama, mapema leo asubuhhi, ambapo mada iliyokuwa mezani ni kuanza kutumika kwa Kituo cha Pamoja cha Forodha mpaka ni Tunduma/Nakonde (Tanzania na Zambia) pamoja na umuhimu wake katika uchumi wa Taifa.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda, Akihojiwa na Mtangazaji  wa TBC1, Chunga Runza, Mikocheni Jijini Dar es salama, mapema leo asubuhhi, ambapo mada iliyokuwa  mezani ni kuanza kutumika kwa Kituo cha Pamoja cha Forodha mpakani Tunduma/Nakonde (Tanzania na Zambia) pamoja na umuhimu wake
Kutoka Julia ni Dkt. Ayoub Rioba (Mkurugenzi Mkuu TBC), Prof. Adolf Mkenda ( Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji), Elizabeth Mramba na Chunga Runza (Watangazaji), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mahojiano ya moja kwa moja kuhusu uanzishwaji rasmi wa huduma za forodha wa pamoja katika mpaka wa Tunduma/Nakonde (Tanzania na Zambia)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...