Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania,  Reborto Mengoni kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia  wanavyoweza kuja  nchini Tanzania kuchangamkia fursa   za Utalii kwa  kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mwambata anayeshughulikia masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kulia) na Mwambata anayeshughulikia masuala ya Biashara,  Bi. Michelangela Adamo ( wa pili kulia) ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Balozi wa Italia nchini Tanzania,  Reborto Mengoni ( wa kwanza kulia)  akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ( wa kwanza kushoto)  kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa  Italia  wanavyoweza kuja   kuchangamkia fursa   za Utalii kwa  kujenga hoteli za hadhi ya  nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania,  Reborto Mengoni kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia  wanavyoweza kuja  nchini Tanzania kuchangamkia fursa   za Utalii kwa  kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mwambata anayeshughulikia masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kulia) na Mwambata anayeshughulikia masuala ya Biashara,  Bi. Michelangela Adamo ( wa pili kulia) ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
 Msemaji  wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania  (TFS) Glory Mziray (kulia) akiwa na Katibu wa Waziri, Ephraimu Mwangomo ( wa pili kulia) wakimsikiliza Balozi wa Italia nchini  Tanzania, Reborto Mengoni  (hayupo pichani) mara baada ya kufanya mazungumzo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe kuhusu masuala ya uwekezaji katika sekta ya Utalii kwa  kujenga hoteli za nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo  jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mambo kale, Dkt.Fabian Kigadi pamoja na Mwambata anayeshughulikia  masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kushoto) ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Maliasli na Utalii wakiagana na Waambata wa Ubalozi wa Italia  nchini Tanzania walipokutana leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mheshimiwa Waziri naomba nije ofisini kwako kusanifu samani kutumia mninga na ngozi pamoja na kushauri kazi za sanaa zipi zinaweza kupamba kuta za ofisi yako. Wewe kama Waziri wa sekta ya maliasili na utalii ndio unatakiwa kuwa mstari wa mbele kutumia na kutangaza bidhaa zetu. Maoni haya niliyatoa wakati wa Mh. Kagasheki nilipokuta samani za kichina ofisi hiohio, natanguliza shukurani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...