Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa
Mkandarasi wa Kampuni ya BAM
International inayojenga Jengo la Tatu la Abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa timu ya usimamizi wa ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Jijini Dar es Salaam, Eng. Julius
Ndyamukama (kushoto) akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Prof. Makame Mbarawa ramani ya miundombinu katika jengo hilo alipofanya ukaguzi
mapema leo.
Muonekano
wa jengo la Tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi. Imetolewa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini , Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...