Mdau Glory Lwomile akimvisha pete ya ndoa mume wake Odillon Rweyendera wakati wa misa iliyofanyika katika kanisa la Mt Mathias Mulumba Kalembo jimbo kuu la Songea mjini Songea,
![]() |
Mdau Odillon Rweyendera akimvalisha pete Glory Lwomile wakati wa ibada ya ndoa iliyofanyika katika kanisa la Mt Mathias Mulumba Kalemba jimbo kuu la Songea mjini Songea na kufuatiwa na sherehe ya kuwapongeza katika ukumbi wa Familia Takatifu Bombambili.
Baadhi ya ndugu,jamaa na marafiki wakicheza muziki na maharusi Odillon Rweyendera na Glory Lwolime, kama ishara ya furaha kwa ndugu zao kufunga ndoa takatifu. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...